Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Hahaa.. Sasa ivi ushaanza kuwabadili majina, na wakati ulikua unamuita king Alexis. Tatizo timu yenu haina future haieleweki inaenda mbele au inarudi nyuma.

Mkuu timu siyo kabila.
We hujasikia aubameyang anatua Emirates.....
Ww wa wapi ww...
 
Tulia dawa ikuingie we zwazwa....
d8651785fec91d5c0f262f8f22d2de59.jpg
 
Unaanzaje kurusha ngumi kwa mahijiano ya kawaida
Nashani kupigwa ban wakati fulani huwa ni kujitakia tu
 
Back
Top Bottom