popoma ushapopomolewa???Nimelud
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]tulifungwa midomooo yetuuuHahahah warembo wapo sero. Lol.
Mstaarabu ila usijaribu kumchokoza hana uvumilivuJamaa sio mstaarabu kabisa mkuu.
Tangia ajiunge jf muda mwingi anatumikia BAN na inawezekana akawa amepigwa Life BAN japo sina uhakikaWala hajachokozwa mkuu. Shobo tu.
Asante ila sipat notification badoooHahahah.
Pole my dear. Lol.
Welcome back.
KabisaHahahah, Ngoja dogo apige book mana anasumbua kweli aseee. Lol.