Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Kumbe! Asante
 
Mimi na baba swalehe ni mapacha tunaofanana tabia namjua sana yule jamaa alikua anawadai mods trophy point alijua ni hela akanunulie balimi baba swalehe .....ana ... Matatzo sana !![emoji38] [emoji38] [emoji41]

Hahahah, nimecheka ujue huyu jamaa ni sheeeda.
 
Sijui nifanyeje na mimi nile ban,mana haiwezekani mwaka wa tano huu niko humu sijawahi kula ban,au nimtukane Melo?

Dah, hebu fanya hivyo mkuu tena na mie ntakusaidia kiongozi. Hahah. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…