popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Rudi hapa usikimbieDuuhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi hapa usikimbieDuuhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimeona ulivyotukanwa cha ajabu hakuna adhabu kwa muhusikamkuu @papoma toa ushahid kwa hyo Robeto umwambie ulichokiona maana nimeona umepita kule na kuona coment ya hyo mtuhumiwa[emoji85] [emoji85]
Kumbe! AsanteKwenye Avatar yake kunakuwa na hilo chata.
Na pia inakuwa huwezi kuingia kwenye profile yake ukaanzisha conversation.
Na kama unatumia browser ukitaka kum-mention mtu ukianza na jina lake tu mwanzo yanakuja majina yanayofanana ila lake halitokei mkuu.
Ahadi gani labda pesa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tuwekeane ahadi kabisa
Nyingine zile ndio nazipendagaAhadi gani labda pesa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
teeehh..Jamani basi jamani mada isije ikawahusu na nyie aseee. Hahah.
Mimi na baba swalehe ni mapacha tunaofanana tabia namjua sana yule jamaa alikua anawadai mods trophy point alijua ni hela akanunulie balimi baba swalehe .....ana ... Matatzo sana !![emoji38] [emoji38] [emoji41]
Ana shida gaan Mkuu huyu jamaa we uliyoiona ??!Hahahah, nimecheka ujue huyu jamaa ni sheeeda.
Ngoja nikaangalie kwenye list ilee ya juu ntaona tuu[emoji6]Nyingine zile ndio nazipendaga
Hahah Asee Kumbe Kuna Source Of Money Humu , , , Let Me Prepare My Bank Acc JohMaanake ni kwamba unakaribia kuanza kulipwa mshahara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui nifanyeje na mimi nile ban,mana haiwezekani mwaka wa tano huu niko humu sijawahi kula ban,au nimtukane Melo?