KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
- Thread starter
- #21
Waboreshe kabla ya kula ban wakuhoji, ikionekana maelezo yako hayafai ndiyo upigwe ban.
Cc. Maxence Melo, Invisible, JamiiForums, Moderator
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waboreshe kabla ya kula ban wakuhoji, ikionekana maelezo yako hayafai ndiyo upigwe ban.
Mkuu kwann unaomba wamfanyie hivyo?Mpaka nyani kala ban, huyo wampe hata ya life ban.
Huyu Sergio hana hata wiki toka aachiwe kutoka kifungoni. Kafungwa tena
Na Witnessj kailamba mda si mchache
Hivi mtu akila ban utajuaje kuwa ni ya siku ngapi?
Lile nani mkuu sijakuelewawitnessj si tutalimiss lile nanii jmn.
Najua mnachukia kwa sababu ya ubishi wa mpira.Kuna huyu kijana Alonso14 yan yeye haiwezi kupita dkk 5 hajavunja sheria za JF achilia mbali za nchi. Yeye ni matusi haipiti muda anaachiwa anaendeleza mwendo ule ule
Hao wamefanya nn?
Huyu kala ban?Jestikilla