Mkuu,unaweza kunipa tafsiri ya hii methali? kama hutajaliMwenda omo na Tezi Marejeo Mgamani
Sahihisho: mwenda tezi na omo marejeo ngamaniMwenda omo na Tezi Marejeo Mgamani
Ningeshangaa kama usinge taja hili aiseeee [emoji12] [emoji12] [emoji12]mficha uchi hazai
Ningeshangaa kama usinge taja hili aiseeee [emoji12] [emoji12] [emoji12]