Tupia methali unazokumbuka

Tupia methali unazokumbuka

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Tujikumbushe methali ambazo zimekuwa funzo hadi leo katika maisha ya kila siku!
ndururu si chururu!
Muonja asali huchonga mzinga!
Ukipata chungu kipya ustupe cha zamani...............................
Tupia na yako unayoikumbuka toka enzi uko primary
 
*Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.


*Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.


*Penye miti hapana wajenzi.
 
Debe shinda haliachi kutika.
Jongoo mtupe na mti wake.
Ulicho kiacha pwani kakingoje ufukweni.

Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni.
 
Back
Top Bottom