Tupia nyuzi zako pendwa (your favorite threads) hapa.

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
514
Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili na ambao hatujabahatika kuisoma basi nasi tukajumuike huko.

Asanteni.
 
Hahaaaaaa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hihihihiii. Teh. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hohoh!! [emoji1] [emoji1]

Huhuhuuu. Duuh.

Uzi wa watu huu ujue. [emoji2]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah mlichokifany mungu anajua ujue mmenifany nitoke kweny state moja kwenda nyngn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bababah!! [emoji1] [emoji1] ata mm sitaki tena naondoka zangu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…