pipi mti
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 764
- 514
Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili na ambao hatujabahatika kuisoma basi nasi tukajumuike huko.
Asanteni.
Asanteni.