Tupia nyuzi zako pendwa (your favorite threads) hapa.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]







Dah mlichokifany mungu anajua ujue mmenifany nitoke kweny state moja kwenda nyngn[emoji1] [emoji1] [emoji1]

[emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha!! emmyta huyo ndio muanzilishi
 
Hujanifundisha bado hapo unaniringishia ujuzi wako wa kutupia
Kama unatumia app, fungua uzi unaoutaka uupost, kisha kulia upande wa juu angalia utaona vidude vi3 utaclick itakuletea option mbalimbali utaona ya kucopy link!
Copy kisha upaste unapotaka...
 
Hujanifundisha bado hapo unaniringishia ujuzi wako wa kutupia
Najua ila namna ya kukuelewesha sasa.

Kama una App ukishafungua uzi hapo kipembeni ile tiki kulia pana vidot vitatu vya kuelekea chini, bonyeza hapo na ukishabonyeza yatakuja maneno mengi lakini la chini linasema COPY URL unakopi halafu unakuja kwenye uzi unaouhitaji kisha unapaste basi.

Sijui umenielewa.
 
Hahaaaa. Wewe ndio umeendeleza ujue sa mie ningefanyaje. Tena kama pale ulishaanza "Bababaah."

Ila nimecheka sana.
Yani nakuambia mpaka tungefika zuzuzuh!!! Sijui ingekua page ya ngapi tu? [emoji1] [emoji1]
 
Unatumaje kama hivi mkuu
Kama unatumia app Fungua Uzi unaotaka kuchukua link then juu upande wa kulia kuna vidoti vitatu, click kwenye ivyo vidoti then utakuta options kadhaa kisha utachagua copy URL. baada ya hapo utaenda kwenye thread unayotaka kuiweka link hiyo kisha uta paste.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…