Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Tena nakusubiri kwa hamu... hahah!!Nakufuata huko huko kwenye uzi wako wa Valentine. Hahahaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena nakusubiri kwa hamu... hahah!!Nakufuata huko huko kwenye uzi wako wa Valentine. Hahahaaaa.
Hahaha!! emmyta huyo ndio muanzilishi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dah mlichokifany mungu anajua ujue mmenifany nitoke kweny state moja kwenda nyngn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unatumaje kama hivi mkuu
Unatuma kama hifiii...Unatumaje kama hivi mkuu
Hujanifundisha bado hapo unaniringishia ujuzi wako wa kutupiaUnatuma kama hifiii...
Kama una stress, Pitia hapa! Usiache kutupia na wewe maneno yako!
Hahaaa. Sikuoni oni Rafiki ndio sababu hata nakusahau.Mzima unanikumbuka?
Nawe piaHahaaa. Sikuoni oni Rafiki ndio sababu hata nakusahau.
Haya uwe na mchana mwema basi.
Kama unatumia app, fungua uzi unaoutaka uupost, kisha kulia upande wa juu angalia utaona vidude vi3 utaclick itakuletea option mbalimbali utaona ya kucopy link!Hujanifundisha bado hapo unaniringishia ujuzi wako wa kutupia
Najua ila namna ya kukuelewesha sasa.Hujanifundisha bado hapo unaniringishia ujuzi wako wa kutupia
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawe pia
Hahaaaa. Wewe ndio umeendeleza ujue sa mie ningefanyaje. Tena kama pale ulishaanza "Bababaah."Hahaha!! emmyta huyo ndio muanzilishi
Yani nakuambia mpaka tungefika zuzuzuh!!! Sijui ingekua page ya ngapi tu? [emoji1] [emoji1]Hahaaaa. Wewe ndio umeendeleza ujue sa mie ningefanyaje. Tena kama pale ulishaanza "Bababaah."
Ila nimecheka sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena nakusubiri kwa hamu... hahah!!
Wenyewe wasingetuvumilia aiseee. Ila bora tumejikanya.Yani nakuambia mpaka tungefika zuzuzuh!!! Sijui ingekua page ya ngapi tu? [emoji1] [emoji1]
Kama unatumia app Fungua Uzi unaotaka kuchukua link then juu upande wa kulia kuna vidoti vitatu, click kwenye ivyo vidoti then utakuta options kadhaa kisha utachagua copy URL. baada ya hapo utaenda kwenye thread unayotaka kuiweka link hiyo kisha uta paste.Unatumaje kama hivi mkuu
Nakuwait kweli mana sikumbuki kama nimekuona kule [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa maana ingekua ni fujo tenaWenyewe wasingetuvumilia aiseee. Ila bora tumejikanya.
Hahaaa. Huwezi amini Nimeusabscribe kabisaaa. Ila sikupata cha kuandika.Nakuwait kweli mana sikumbuki kama nimekuona kule [emoji12]
Member gani JF ungependa kuwa nae siku ya Valentine day?Kama unatumia app Fungua Uzi unaotaka kuchukua link then juu upande wa kulia kuna vidoti vitatu, click kwenye ivyo vidoti then utakuta options kadhaa kisha utachagua copy URL. baada ya hapo utaenda kwenye thread unayotaka kuiweka link hiyo kisha uta paste.
Kumbe na wewe ulikuwa hujui. Duuh