Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Picha ya kati ya majani haina focus kabisa
Yeah..... Hii ya majani nilipiga kwa kutumia Macro camera
Kwenye Redmi 10 2022 macro camera ni 2MP kwa hiyo ni completely trash, poor macro camera ni common kwenye simu za bei hii
Picha nzuri zinatoka nikitumia Ultrawide camera na Main camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…