Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

asikae juani huyo hayo maplastiki yatayeyuka
Huyu jamaa huwa anasema ukweli kwahyo demu wako sio mzuri demu mzuri ni wajamayko good idea of thinking hyo ndo English yangu ukicheka tena apo tumejadiliana
 
Wanawake wa vijijin si ndo wamehamia mjini bas tu ile kujisoup soup mnawaona wazur

Ata sis wa kijjin tukija huko mbona tunakua warembo tu ata zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
nenda kawaone wanyantuzu
 
Nenda kwenye Mabanda ya Uswazi utashangaa kuona Vinachomoka ''visu'' balaa Zari utamuona kinyago cha Mpapure..........!!!
 
MWAMBIE KWANZA

1. Atoe hayo makatani aliyoweka kichwani kwanza uone nywele zake halisi zilivyo kipilipili na zilizojaa mvi

2. Akwangue hiyo skiming ya marangi aliyobandika kwenye mwili wake uone sura yake halisi

3.Atoe hizo tomato source alizopaka kwele lips ili uone lips zake halisi

4. Atoe hiyo miwani uone macho yake halisi

Kwa kifupi unachokiona hapo ni dolly na sii mtu halisi
 
Mke wangu ni mzuri sana na kampita huyo mwehu kwa kila kitu.
 
huyu dada anaishi maisha ya kuunga unga sana. Mungu amsaidie kwa kweli usichojua ni kama usiku wa giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…