Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

c69bddba25d468124bf35ee0af3b5c53.jpg
Kitu og hakuna ma poudaaaa
 
asikae juani huyo hayo maplastiki yatayeyuka
Huyu jamaa huwa anasema ukweli kwahyo demu wako sio mzuri demu mzuri ni wajamayko good idea of thinking hyo ndo English yangu ukicheka tena apo tumejadiliana
 
Wanawake wa vijijin si ndo wamehamia mjini bas tu ile kujisoup soup mnawaona wazur

Ata sis wa kijjin tukija huko mbona tunakua warembo tu ata zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.

Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki

Jibu; Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye.

SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3.Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda

Zari Mungu amekusuka kama engine hujaumbwa, wengine wanatamani kuwa kama wewe, hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini.

Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani.

Binafsi wazee Zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya.

ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE UPO DUNIANI BAHATI MBAYA ULIPASWA KUWA MALAIKA HUSTAHILI HATA VUMBI LIKUGUSE NATAMANI HATA KUWA HOUSEBOY WAKO PAMOJA NA KUWA UNDERGRADUATE ILI NIKUONE NIKIWA NAMWAGILIA BUSTANI AU KUSAFISHA NYUMBA NIPATE HATA ILE HARUFU YA PAFYUMU YA 2MILLION
ZARI WANAWAKE KWA WAUME WANAKUKUBALI MOYONI KUANZIA UG HADI TZ


zari-hassan-dangote.jpg

Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel
nenda kawaone wanyantuzu
 
Nenda kwenye Mabanda ya Uswazi utashangaa kuona Vinachomoka ''visu'' balaa Zari utamuona kinyago cha Mpapure..........!!!
 
MWAMBIE KWANZA

1. Atoe hayo makatani aliyoweka kichwani kwanza uone nywele zake halisi zilivyo kipilipili na zilizojaa mvi

2. Akwangue hiyo skiming ya marangi aliyobandika kwenye mwili wake uone sura yake halisi

3.Atoe hizo tomato source alizopaka kwele lips ili uone lips zake halisi

4. Atoe hiyo miwani uone macho yake halisi

Kwa kifupi unachokiona hapo ni dolly na sii mtu halisi
 
huyu dada anaishi maisha ya kuunga unga sana. Mungu amsaidie kwa kweli usichojua ni kama usiku wa giza
 
Back
Top Bottom