Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Nyinyi wavulana wa mikoani mnatuaibisha sana, huyo ni mama wa watoto saba nafikiri, ni mwanamke wa kawaida sana, sisi huku mjini ata wafanya usafi wa kwenye majengo yetu ni wazuri mara mia mbili ya huyo mama. Njoo mjini, ukae kituo cha mabasi cha posta mpya kuanzia asubuhi mpaka jioni alafu utajuta kwanini unaishi huko vijijini ambako wanawake wenu wamechukua sura za babu zao.
Nitumie pm mkuu nijichagulieTunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.
Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki
Jibu; Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye.
SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3.Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda
Zari Mungu amekusuka kama engine hujaumbwa, wengine wanatamani kuwa kama wewe, hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini.
Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani.
Binafsi wazee Zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya.
ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE UPO DUNIANI BAHATI MBAYA ULIPASWA KUWA MALAIKA HUSTAHILI HATA VUMBI LIKUGUSE NATAMANI HATA KUWA HOUSEBOY WAKO PAMOJA NA KUWA UNDERGRADUATE ILI NIKUONE NIKIWA NAMWAGILIA BUSTANI AU KUSAFISHA NYUMBA NIPATE HATA ILE HARUFU YA PAFYUMU YA 2MILLION
ZARI WANAWAKE KWA WAUME WANAKUKUBALI MOYONI KUANZIA UG HADI TZ
Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel
Dongobesh/ karatu na wengine wa huko ni wazuri sana at their 20s and may be early 30. Ila udongo wao unachoka haraka sana, wanawahi kuzeeka. At 40s ni ajuza kabisa.Zari ana uzuri gani bana wewe wanaweke wazuri huwajui nenda huko Dongobesh na karatu huyo mbona anasubiri sana tuu
Tunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
SASA HII NDIO TYPE NINAYOITAKA
Evelyne rugemalira..i adore this woman
Yule mtoto wako aliyemaliza chuo ashapata mchumba?Tunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Hyat si ndo hapohapo kempiskKumzidi nini?
Ukanikimbia ukaishia kulike tu yaan wewe basi nipeleke kempisk kama hyat hupapendi[emoji23][emoji23][emoji23]
Misstrace I adore youRekebisha namba 4 sio mguu wa bia ule wacha kufananisha miguu yetu ya bia na matende.
Iyo Dongobesh ipo mkoa ganiHahahaaa Dongobesh
Mkuu wale watoto wa kule hawajui mafuta ila wanatelezaaa
Nimekaa kaa kule aisee
Hv mwanaume kumiliki mtoto kama huyu peke yako nu dalili ya ubinafsizari akiwa umbo namba nane huyu tusemeje au we kipofu mkuu