Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] au waje pale mlimani city .
Nyinyi wavulana wa mikoani mnatuaibisha sana, huyo ni mama wa watoto saba nafikiri, ni mwanamke wa kawaida sana, sisi huku mjini ata wafanya usafi wa kwenye majengo yetu ni wazuri mara mia mbili ya huyo mama. Njoo mjini, ukae kituo cha mabasi cha posta mpya kuanzia asubuhi mpaka jioni alafu utajuta kwanini unaishi huko vijijini ambako wanawake wenu wamechukua sura za babu zao.
 
Nampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.

Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki

Jibu; Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye.

SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3.Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda

Zari Mungu amekusuka kama engine hujaumbwa, wengine wanatamani kuwa kama wewe, hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini.

Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani.

Binafsi wazee Zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya.

ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE UPO DUNIANI BAHATI MBAYA ULIPASWA KUWA MALAIKA HUSTAHILI HATA VUMBI LIKUGUSE NATAMANI HATA KUWA HOUSEBOY WAKO PAMOJA NA KUWA UNDERGRADUATE ILI NIKUONE NIKIWA NAMWAGILIA BUSTANI AU KUSAFISHA NYUMBA NIPATE HATA ILE HARUFU YA PAFYUMU YA 2MILLION
ZARI WANAWAKE KWA WAUME WANAKUKUBALI MOYONI KUANZIA UG HADI TZ


zari-hassan-dangote.jpg

Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel

hanuki?
 
Zari ana uzuri gani bana wewe wanaweke wazuri huwajui nenda huko Dongobesh na karatu huyo mbona anasubiri sana tuu
Dongobesh/ karatu na wengine wa huko ni wazuri sana at their 20s and may be early 30. Ila udongo wao unachoka haraka sana, wanawahi kuzeeka. At 40s ni ajuza kabisa.
 
Rekebisha namba 4 sio mguu wa bia ule wacha kufananisha miguu yetu ya bia na matende.
 
Ngozi yenyewe ya plastiki,tako la kienyeji miguu ya matende ndo unasema Zari mzuri kwa kila kitu..!! Kuna mademu uswazi ni bomba ile mbaya ila tu siyo maarufu
 
Irene Uwoya...na hapo tunaongelea wanawake maarufu...underground sapo kibao watoto wakali..Tunda ni mrembooo tena natural
 
eti mtu wa miraba minne ndo ameanzisha huu uzi hahahaha lool
 
Zari amejichubua ngozi yake sio ya asili mkuu acha ushamba,,,,,,,karibu mjini Dar ambapo unaweza fikiria wanawake wengi ni weupe kumbe full mkorogo wa advance technology
 
Back
Top Bottom