Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Hahaha Inawezekana mnafanana usoni ndio maana ukaamua umchukue pichaMimi nilikutana na rafiki yangu bwana kitimoto😄😄😄
View attachment 1901477
Hahaha Inawezekana mnafanana usoni ndio maana ukaamua umchukue picha
Du! Hajui kwa ulalaji huo anawawekea wahuni peupeDah,huyu jamaa nilimkuta amezima watu tukamjalia kwa kujua labda anaumwa kufika pale anaanza kututukana,alikua mlevi bhana.View attachment 1901724
😂😂😂Alikua hana leseni na alikuwa mwendo kasi kwenye zebra hasimami sasa sisi tufanyeje? View attachment 1902784View attachment 1902785View attachment 1902786
Du! Hiki chenyewe
Camera gan