Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

Tupia picha ya kitu kilichokuvutia mpaka ukakipiga picha

20240319_112306.jpg
 
Unaitwaje huu mmea na unaota kwenye uoto upi?
Huu unaitwa Mshununga, unapendelea kuota maeneo ya visiwani...hasa Zanzibar unguja na pemba.....

Watoto wadogo huanza kuuchezea mapema sana!

Matokeo yake nadhani unayaona! Kwa kizazi kinachotokea ukanda huo!
 
Back
Top Bottom