Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Marangu hiyo
IMG_20200512_172252.jpg
 
Kabisa na kiukweli tukisema zitumwe picha za nyakati tofauti kila mtu atabaki anashangaa. Kwa Kilimanjaro hususani Wilaya ya Hai, Moshi na Rombo (Maeneo ya ukanda wa juu au milimani na ukanda wa kati) ndiyo yana ukijani kama inavyoonekana kwenye picha zinaazotumwa. Mfano mtu wa Moshi akituma picha za maeneo ya Kahe, Mabogini, Chekereni, Uchila, au mjini kiujumla utaona mandhari tofauti. Hivyo hivyo kwa mtu wa Same, Siha, Hai, Rombo, n.k. Kwa maeneo niliyowahi kufika ukiacha kwetu mbeya maeneo yenye ukijani uliobalance kipindi chote cha mwaka (masika na kiangazi) ni Mkoa wa Kagera isipokuwa Wilaya ya Karagwe. Hizi za Kilimanjaro ukiondoa ukanda wa juu na kati ni kubovu sana tena sana. Mfano hapo kuna mtu katuma picha ya mashima ambayo ipo maeneo ya kuelekea tarakea mpakani, ukipiga picha wakati tofauti na kipindi cha mvua au mwezi wa tano hadi wa 9 utakutana na vumbi tu hata huo ukijani haupo. Kwa Kagera, Iringa na Njombe kwangu mimi ndiyo maeneo yenye mandhari nzuri kipindi chote japo Kagera ni namba moja. Kwa upande mwingine min -me umefanya vema angalau hii inatoa hamasa kwenye suala zima la utunzaji wa mazingira na kuona mandhari ya maeneo tofauti. Ebu tutumie picha za huko maeneo karibu na TPC au siha
Iringa ya kuelekea mtera ambayo ni nusu jangwa, au mbeya hii kipindi hiki Kuna vumbi kama lote, tusidanganyane Tanzania dry season (kipindi Cha kiangazi ) kila eneo nchi zima Kuna vumbi ni sehemu chache sana Tanzania hii hutakuta vumbi kuanzia January mpaka December
 
Mmmh coca uongo huooo, nishakaa kule miezi kadhaa, post hata kijani kibichi cha Msamala na ile bara bara ya shule ya Tanga. Songea mjini pazuri mno kulinganisha na wilaya nyngi mno za mikoa mingine. Kuna watu kwao ni kubaya kuliko Songea, ila wana post! Sembuse weweeee
Msamala ndo kwetu sasa, kweli unapajua Songea.
Msamala wamejaa wachaga, wahaya, na wakinga, wameweka mijengo ya maana.

Tunakuita ushuaani. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Iringa ya kuelekea mtera ambayo ni nusu jangwa, au mbeya hii kipindi hiki Kuna vumbi kama lote, tusidanganyane Tanzania dry season (kipindi Cha kiangazi ) kila eneo nchi zima Kuna vumbi ni sehemu chache sana Tanzania hii hutakuta vumbi kuanzia January mpaka December
Bukoba na baadhi ya wilaya za mkoa wa kagera ndo sehemu pekee Tanzania ni kijani mwaka mzima...
Ogopa sehemu inayopokea zaidi kiwango cha mvua cha 2000mm kwa mwaka...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Msamala ndo kwetu sasa, kweli unapajua Songea.
Msamala wamejaa wachaga, wahaya, na wakinga, wameweka mijengo ya maana.

Tunakuita ushuaani. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Weee Coca weweee, nini kunifunga kamba baba yako kama mimi? Ushuani ni Mahenge maeneo ya Angoni arms[emoji23][emoji23], Mchagga mwenyewe mwenye mjengo si ni Mauki tu? Naye kafulia au uongo?[emoji23]
 
Back
Top Bottom