Tupia picha ya mwandiko wako tuone ulivyo mzuri/ mbaya

Huyo mtoto hanifikii.
Huyo mtoto kaandika mwandiko wa Monotype Corsiva ambao unataka kushabihiana na Segoe Script MT. Ili uwe na mwandiko mzuri kumshinda inabidi uandike mwandiko wa Old English Text au uandike Pure Sogoe MT ScriptBold kama sivyo huwezi kumfikia kamwe
 
Natania tu nina mwandiko wa kawaida sana.
 
Nijuavyo mimi katika kuandika huwa kunategemea jambo moja au mawili.

¡. Aina ya kalamu ninayotumia kuandika.

¡¡. Lugha niandikayo.

Hivi vitu viwili huwa vinabadili mwandiko wangu, nikiandika Kiswahili si sawa na nikiandika kiingereza na inategemea mdomo wa kalamu una size ipi, mara nyingi napenda kalamu zenye mdomo mwembamba ili kuandika navyotaka mimi.

Sihitaji mwezi kuiga mwandiko nina ghala la miandiko kama 5 hivi hata mwandiko wa kike naandika ila mara nyingi napenda kuandika kwa staili ya italic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…