MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Inasikitisha sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana,
Hongera mkuu naona umenunua sukari kilo 5, na mafuta litaHuu ndo mwandiko wangu ,wengi wanausifia kuwa ni mzuri,
Hebu weka na wako tuuone.
View attachment 1391058
Sent using Jamii Forums mobile app
Naahangaa sukari kilo 5 alfu 16500 wakati hapa inguja nachukua kwa alfu 9 na kadhaa tu dahHongera mkuu naona umenunua sukari kilo 5, na mafuta lita
Naahangaa sukari kilo 5 alfu 16500 wakati hapa inguja nachukua kwa alfu 9 na kadhaa tu dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Bila kuweka mwandiko wako. Hii itakua porojo
Wakati mkiendelea kujimwambafai humu ila mjue huyu mtoto kutoka Nepal ndio binaadamu mwenye mwandiko mzuri kuliko wote.
![]()
Kama si polisi,utakua uhamiaji.Huu ndo mwandiko wangu ,wengi wanausifia kuwa ni mzuri,
Hebu weka na wako tuuone.
View attachment 1391058
Sent using Jamii Forums mobile app