Tupia picha ya mwandiko wako tuone ulivyo mzuri/ mbaya

Kuna ticha wangu flani wa advanced Chemistry jamaa ana mwandiko mzuri sana asee sjapata ona.
Mwenyewe anausifia sana eti "this Is International handwritting ni watu wachache sana hapa duniani tunaandika hivi"
Infact the way anavyounda herufi Its amazing. Day nikimpata nitauweka hapa mwandiko wake.
 
Mwandiko wangu ni mbaya kiasi huwa napata tabu kuusoma, nadhani ndo sababu kuu sikuwahi kupata A.
 
Kiukweli mwandiko wangu si mzuri lakini sijawahi pata shida kuusoma ingawa wengine wanasema hawawezi kuusoma🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…