mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Hili dude nshalikosakosa asee...... muda ndo ulileta mizengwe![]()
Kwa hapa chai yko sinywi huyu demu hayuko chuo maskani kwake na mbezi beach na anapiga zile biashara za watu wakubwa ila ni kwa mtandao