Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kona za Nyong'oro Iringa Tanzania. Kuna siku tulikuwa na kundi la Wamarekani fulani toka USDA. Tulitoka nao Dodoma kwenda Iringa. Walivyofika hapa walikuwa na furaha sana. Wakataka tuwape wadrive wao maana walikuwa interested sana na hii "nature". Tulipita pia na Kitonga, walienjoy sana wale wazungu.
 
Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
 
Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
Hahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
 
Ungewaomba wakushushe utembee tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…