Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Hahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
Mpo wengi kumbe. Kuna akina mama walikaa seat za mbele, kufika mitaa hiyo wakawa wanapiga kelele wakiona kama barabara imeisha. Dere akaamuru wahamie nyuma wabadilishane seat. Ikawa hivyo na bakora zikaendelea
 
Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
Mama Yangu alikuja kunitembelea huku Nyanda za juu kusini. Wakati anatoka Morogoro alipitiwa na usingizi hakuiona kitonga. Hahaaaa wakati wa kurudi, akaiona Kitonga. Wiki nzima Pressure juu kwani aliogopa na akikumbuka tu ule Mlima. Akawa ananiuliza, Mwanangu huwa mnapitaje pale kwenye lile Limlima na zile kona.
 
Sawa Sawa
20230720_133127.jpg
20230714_183709.jpg
20230714_183716.jpg
20230711_165129.jpg
 
Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
Mkuu tuko tofauti hii milima ya nyang'oro nikipititaga huwa nakuwa na hofu sana hasa ukute kuna mvua. na kila mara kunakuaga na ajali.
 
Back
Top Bottom