Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Hahaaaaa, kidogo nijikojolee siku ile.Ungewaomba wakushushe utembee tu.๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, kidogo nijikojolee siku ile.Ungewaomba wakushushe utembee tu.๐๐๐
Mpo wengi kumbe. Kuna akina mama walikaa seat za mbele, kufika mitaa hiyo wakawa wanapiga kelele wakiona kama barabara imeisha. Dere akaamuru wahamie nyuma wabadilishane seat. Ikawa hivyo na bakora zikaendeleaHahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
Hahaaaaa, panahitaji sana Moyo kwa kweli.Mpo wengi kumbe. Kuna akina mama walikaa seat za mbele, kufika mitaa hiyo wakawa wanapiga kelele wakiona kama barabara imeisha. Dere akaamuru wahamie nyuma wabadilishane seat. Ikawa hivyo na bakora zikaendelea
Mama Yangu alikuja kunitembelea huku Nyanda za juu kusini. Wakati anatoka Morogoro alipitiwa na usingizi hakuiona kitonga. Hahaaaa wakati wa kurudi, akaiona Kitonga. Wiki nzima Pressure juu kwani aliogopa na akikumbuka tu ule Mlima. Akawa ananiuliza, Mwanangu huwa mnapitaje pale kwenye lile Limlima na zile kona.Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
Mkuu tuko tofauti hii milima ya nyang'oro nikipititaga huwa nakuwa na hofu sana hasa ukute kuna mvua. na kila mara kunakuaga na ajali.Hakika hizi kona nazipenda vibaya mno. Nataman kupita hata kila siku. Huwa napata ile "natural high" nikiona mazingira kama haya, sio lazima nitumie mihadarati
Mzilankende naona umeamua kujipost mwenyewe ๐๐
๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐Mzilankende naona umeamua kujipost mwenyewe ๐๐
Hii ni mitaa ya kiwanja cha Ndege Moshi Mjini hapa. Kuna Hotel moja huwa nalala nikijaga Moshi panaitwa Mkenya kama sikosei.
Upo Sahihi Na Nilikuwa Lodge Hiyo Hiyo Nikapiga PicturesHii ni mitaa ya kiwanja cha Ndege Moshi Mjini hapa. Kuna Hotel moja huwa nalala nikijaga Moshi panaitwa Mkenya kama sikosei.
Ahsante sana, tarehe 23 nitakuwa huko.Mwisho wa Mwaka, karibu mkuu
Hahaaaaa, wasalimie wote hapo.Upo Sahihi Na Nilikuwa Lodge Hiyo Hiyo Nikapiga Pictures
We jamaa kule kwenye battle yetu sikuoni siku hizi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ