Tupia risiti ya uzi wa mashabiki wa Yanga wakijisifu watamfunga Mamelodi ili tuzihifadhi kwa matumizi yajayo

Jirani kazi kuongea na kujadili alichokula jirani yako... Huku wewe unakufa kwa njaa
 
Mahabiki wa simba wanatumia muda mwingi kujadili mambo ya Yanga kuliko yale ya kwao!

Yaani kwa namna wanavyojadili unaweza kufikiri labda timu yao imeshafuzu! Kumbe wanasubiria tu kukamilisha ratiba. Maana uwezekano wa kuvuka hatua ya robo fainali haupo.
 
Simba ina mashabiki matilatila! Badala ya ku-concentrate na ligi yamekalia kuisema Yanga na Mamelodi utafikri yenyewe kwa Al Ahly yatatoboza!
 
hapo ndo nnapoona bwana RAGE aliona mbali
 
Sisi simba al ahly hatuwezi kumjadili sana maana tushacheza naye sana

Tunamuongelea mgeni mpya
Kipya kinyemi
Mamelodi sundowns
Hawa ndo tunatamani kuwaona taifa

Ila yanga hawafungwi nyingi
Nawapa mamelodi 40% kushinda taifa
60% kwao

Kuhusu sisi simba na al ahly ndo mlima mgumu ulipo
Nawapa 20% al ahly kushinda taifa ila kwao 70%

Cha msingi simba akifanikiwa kushinda 2-0 taifa tumefuzu

Yanga akishinda 2-0 wamefuzu
 
Mamelodi anapigwa 3-1 kwa Mkapa! Kwa Madiba yeye atashinda 2-1!
 
Mamelodi anapigwa 3-1 kwa Mkapa! Kwa Madiba yeye atashinda 2-1!
Sawa mkuu ila goli la kwanza litadetermine tempo ya mchezo mkianza yanga basi mambo yatakua mepesi ila wakianza wao kufunga hali itakua ngumu sana
 
Sawa mkuu ila goli la kwanza litadetermine tempo ya mchezo mkianza yanga basi mambo yatakua mepesi ila wakianza wao kufunga hali itakua ngumu sana
Ila Simba kwa hii timu yenu tia maji tia maji hii safari hii kwa Al Ahly mnazioga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…