Tupia staili yako jinsi unavyotongozaga!!

Tupia staili yako jinsi unavyotongozaga!!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
Ya leo kali mentali.
Kusema ukweli jinsi ya kumuingia
Mwanamke inahitaji kumsoma sana maana unaweza kumparamia akakuumbua.
Na hakuna jambo baya mwanaume halipendi kama kukatataliwa!

Kila mwanaume huwa ana mtindo wake wa kukamata totozi
Acha me nianze kuwapa mbinu yangu.
Huwa kwanza naanza kutafuta njia nipate namba ya simu baada ya hapo naanza na salamu nyingi na utani utani hiyo inaweza kuchukua hata wiki 2 ndo ule mzigo!
Sema inauma we unahangaikia wiki kuna watu wakimtaka kwa siku tu wanamtaka!

Embu mwageni na nyie mauchawi mnayotumia kukamata hizi dogodogo
 
Mchawi pesa mdogo wangu , tafuta pesa utafunua kila chupi
 
Nunua Ndinga babu apo wanakujaga wenyew ukipiga horn tuu baasi wakigeuka in wako uyo
 
Duh....mi sina style nikimpenda tu hapo hapo mi natongaza tu.
we kuwa na confidence tu utaopoa kilaini balaa.
 
K
Ya leo kali mentali.
Kusema ukweli jinsi ya kumuingia
Mwanamke inahitaji kumsoma sana maana unaweza kumparamia akakuumbua.
Na hakuna jambo baya mwanaume halipendi kama kukatataliwa!

Kila mwanaume huwa ana mtindo wake wa kukamata totozi
Acha me nianze kuwapa mbinu yangu.
Huwa kwanza naanza kutafuta njia nipate namba ya simu baada ya hapo naanza na salamu nyingi na utani utani hiyo inaweza kuchukua hata wiki 2 ndo ule mzigo!
Sema inauma we unahangaikia wiki kuna watu wakimtaka kwa siku tu wanamtaka!

Embu mwageni na nyie mauchawi mnayotumia kukamata hizi dogodogo

kuna chuo kimoja kipo pale kinondoni cha ♥ ukipata muda nitafute nikupe maujanza yote na gharama zake ni kama ifwatavyo:

Registration: 20,000
Pre-entry test :20,000
fees: negotiable depends on selected training period🙄🙄
 
Mie huwa namwambia nipe papuchi nikugegede basi
 
Dah aisee hili jambo halina formula....linatokea kimiujiza sana....wapo wengi sana niliokung'uta bila kufahamiana majina au ata bila kuwa na namba....anayesema kwamba tumia pesa ili uwavue vyupi, nadhani naye ana tatizo kama hiyo ndiyo mbinu aliyoibakiza store....Mtaani bado zipo free clasic pussy za kutosha,.....hata hizo za umma zenye kulipiwa, wakati mwingine zinadunguliwa bila pesa...KUTONGOZA HAKUNA FORMULA.
 
Watu mliobeba Genes za kuhonga ni tabuu mno....unatoa pesa, demu anamfadhili Msela mwingine,...hujawahi kuona hiyo?....mimi nimeona mara kibao!
"We unachunwa mimi namega kisela" hii ilikuwa zamani mkuu kwa sasa mambo hayapo hivyo ni msichana 1 kati 100 wasiopenda pesa

Tumia pesa mademu wakuzoee
 
"We unachunwa mimi namega kisela" hii ilikuwa zamani mkuu kwa sasa mambo hayapo hivyo ni msichana 1 kati 100 wasiopenda pesa

Tumia pesa mademu wakuzoee
Kimsingi kila kitu kinahitaji pesa,...lakini kwa niliyoyashuhudia...wacha nimalize kwanza hii Castle.
 
Dah ....mie kuna pafyum inaitwa 69duft hiyo ukijispray ukapita mbele ya dem inampoteza kabisa...anakuwa anakufuata...akija kustuka wewe tayari kitambo sana ...unapata 600 ya mwendo kasi biashara kwisha[emoji85]
 
Bei gani hio manukato
 
Mimi sijisumbuagi akili,nafanyaga kumsoma kwanza mwanamke ni wa aina gani kwa kumpa salamu halafu akishaitikia tu ndio najua nianzie wapi na kama hakuitikia lakini nimempenda nitaanza na samahani kwa usumbufu kana kwamba nina shida kubwa sana hivyo nahitaji msaada wake;Hapo akinipa sekunde chache tu nakua nishaandaa maneno ya kumtoa kwenye jeuri yake.Namba za simu huwa sijali sana tena huwa sipendi kuomba kwakua wapo baadhi ya wanawake huweza kukuona kama limbukeni au unapapara kiasi cha kushindwa kukuamini.Kumbuka baadhi ya wanawake unaweza kuwa tambua ni wa aina gani kwa mavazi yao,muonekano wao na uongeaji wake mara unapotoa salamu kumsalimia naye akaitika. Kusema kweli wanawake wengi sana nimewabutua kwakua naanza kuwasoma alafu mengine yanafuata,mapenzi yanahitaji umakini na mbona za hali ya juu ili kufanikisha azma yako na wala sio kwamba ukiwa na hela ndio unapata mwanamke yoyote mzuri unayemtaka si kweli kwani wapo wenye pesa lakini wananyimwa raha za tunda au wanaliwa pesa na kuachwa wakati kapuku asiye na kitu anaweza kuwa na maneno matamu ya kumchanganya mwanamke hadi akavua pupi na kuachia pambaja kisha kapuku mie nikatupia mpira kapuni.Kwa taarifa tu kati ya wanawake kumi ninaowatongoza huwa ni mmoja tu ndiye anaweza kuruka mtego lakini nikimvalia njuga anatoa tena bila usumbufu,nishapiga wengi hadi najiogopa
 
Topic zingine za ajabu sana!!!!...ndo thinkers wenyewe hawa??
 
Back
Top Bottom