dr.bleeder
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 197
- 128
Siri ya mwanamke yoyote ukitaka kumpata, Anza kwa kumsifia basi utakuwa umemaliza! !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu JF kumeniponza hasa Ushauri huu[emoji121] [emoji121] [emoji121]. Niliamua kuujaribu. Kilichonikuta ni siri ya watu wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona bora niendelee kutongoza tumi huwa sina maneno..
namuuliza tu, we vipi, baadae una muda..??
nataka tutoke out nkugegede!
Ya leo kali mentali.
Kusema ukweli jinsi ya kumuingia
Mwanamke inahitaji kumsoma sana maana unaweza kumparamia akakuumbua.
Na hakuna jambo baya mwanaume halipendi kama kukatataliwa!
Kila mwanaume huwa ana mtindo wake wa kukamata totozi
Acha me nianze kuwapa mbinu yangu.
Huwa kwanza naanza kutafuta njia nipate namba ya simu baada ya hapo naanza na salamu nyingi na utani utani hiyo inaweza kuchukua hata wiki 2 ndo ule mzigo!
Sema inauma we unahangaikia wiki kuna watu wakimtaka kwa siku tu wanamtaka!
Embu mwageni na nyie mauchawi mnayotumia kukamata hizi dogodogo
haaaa haaaa..Humu JF kumeniponza hasa Ushauri huu[emoji121] [emoji121] [emoji121]. Niliamua kuujaribu. Kilichonikuta ni siri ya watu wawili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona bora niendelee kutongoza tu
Hapa shavu moja jekunduuu halafu linaumaa... ila sielewi kwanini kwasababu nilizinduka na kujikuta hivyo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haaaa haaaa..
mkuu nmecheka hadi jino la mwisho,
nipe mrejesho mkuu...usinibania ata PM