Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mzee mi livapMan u na arsenal endeleen tu kukalia nafasi za watu wenye nazo wakija mpishe
Umenipigaje mzeeJana nimekupiga tatu bila
Wewe ndo yule uliyetuaminisha Chelsea anachukua Super cup.... [emoji23] [emoji23] leo upo hapa unatuambia anashika nafasi ya 2. Labda ya 2 kutoka mwishoniAman iwe nanyi wakuu
Kulingana na usajili ulivyo msimu huu natabili hii ndo top four yangu msimu huu
Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY
Kwahiyo mtabeba na hili au sio? [emoji23] [emoji23] amka mzee utakojoles kitanda..Chelsea huwa hawatupi nafasi lakini kawaida yetu haipiti miaka mitatu bila kubeba epl,na wanajifanya hawajui hili
HahahahahahhaWewe ndo yule uliyetuaminisha Chelsea anachukua Super cup.... [emoji23] [emoji23] leo upo hapa unatuambia anashika nafasi ya 2. Labda ya 2 kutoka mwishoni
Una akili sana