Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Chelsea huwa wanatutoa kabisa ktk top four zao miaka yote,ila huwa tunawaumbua na prediction zao,na huwa haipiti miaka mitatu bila kubeba epl, anyway prediction yangu ni Man City au Chelsea mmojawapo atakuwa bingwa,hao wawili ni Liverpool na Tottenham,man utd na Arsenal bado mtaendelea kutusubiri

Kweli aiseee huwa wanaitolea chelsea povu balaa mwisho wa siku wanabaki kuumbuka wenyewe
 
Naikubali sana hiyo team ndo maana nimeiweka top4 kila mwaka lazima iondoke na kikombe
Sijawahi kuona Chelsea ikitabiriwa na wengi kuwa top four kwa miaka kadhaa sasa...na msimu uliopita kuna watu walisema itashuka daraja....lkn ligi ikimalizika inaacha watabili uchwala mkiumbuka ***** zenu....na niwakumbushe tu.....Chelsea ndo timu iliobeba makombe mengi tangu mwaka 2005 mpaka sasa pale england
 
1. Man City
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Man Utd

Frank Lampard atakuwa kocha wa kwanza kwa timu kubwa kutimuliwa.
Lampard hawezi kutimuliwa hadi ban iishe ili atumie hela za mauzo ya hazardous Hazard na Morata. Atapimwa baada ya hapo. Na laiti akina CHO na Loftus Cheek wasingekuwa majeruhi Chelsea ingetisha sana.
 
1.Man City

2. Arsenal

3.Liverpool

4.Spurs

6.Everton

7.Chelsea

8.Man United
IMG_20190810_113211.jpeg
 
Angalau naona wakuu wengi wenu mnaiweka arsenal top four.... nadhani mmeiona kwenye mechi za awali, nikiwa kama arsenal wa kutupwa bongo msimbazi, burudani sikinde na hii ndo top four yangu
1 man city
2 Liverpool
3 arsenal
4 Chelsea
 
Watu mnaomuweka arsenal na man u mnachekesha sana mara mia mumuweka hata aston villa
 
Chelsea ya mwaka huu ni bonge la team kuna vijana lazima waoneshe kujituma ili waaminiwe
wenzako wanabashiri kwa maono Yao top four mwaka huu.. wewe umekalia kuikandia man u na arsenal.. kumbe wewe Chelsea ok
 
Manchester City
Liverpool
Tottenham hotspur
Arsenal

Siioni Nafasi Ya Timu Yangu Ktk Top Four Ya Msimu Huu.
 
Naikubali sana hiyo team ndo maana nimeiweka top4 kila mwaka lazima iondoke na kikombe
Kwa hiyo kwa kuwa unaikubali wewe ndo lazima iwepo top four.... haya hao usiowata wewe man u na arsenal wameanza kwa ushindi na hiyo Chelsea yako imekula nne na timu hiyo usioitaka man u
 
Back
Top Bottom