Usajili Siku hizi hauleti impact kubwa sana uwanjani ..angalia
Chelsea hajafanya usajili lakini mwenendo wake ni mzuri.
Arsenal kafanya usajili mwenendo wake ni mzuri.
Man united kafanya usajili mwenendo wake hausomeki.
Liverpool hajafanya usajili mkubwa na wa maana, mwenendo wake ni mzuri.
Spurs kasajili kweli ..mwenendo wake unashuka.
Man City kasajili pia, ila Naye anapanda na kushuka.
Hivyo usajili kwa misimu ya hivi karibuni haujaleta impact kubwa labda kuna adha faktaz zinazochangia timu isipafomu kama mbinu za kocha, pressure ya timu na ligi pia.
Muhimu ni kutumia wachezaji waliopo na kuwa trust kwa kuwapa nafasi zaidi ila kupata uzoefu. Japo kusajili bado ni muhimu sana.
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]