Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Amani iwe nanyi wakuu,

Kulingana na usajili ulivyo msimu huu, natabiri hii ndiyo top-four yangu msimu huu.

Man city
Chelsea
Liverpool
Everton

LONDON BOY
1595255226662.png
 
Niliwaambia ndan ya michezo 10 hamuwez kuwepo ndan ya top 4 ,

Nafas ya 10-15

Hiyo lazima

Tupo hapa nitakuja kufukua kaburi

Sasa hiv ratiba inawadanganyeni mna timu ya kuingia hata top 8
fanya mambo mengine mkuu haya yapo juu ya uwezo wako
 
Back
Top Bottom