Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19



1. Man Utd
2. Liverpool
3. Man City
4. Tottenham

Mourinho anafukuzwa mwezi May baada ya kuchukua ubingwa kwani wachezaji wengi hawataki kucheza chini yake.
 
1) Man United

2) Liverpool

3) Man City

4) Arsenal
 
1. Man Utd
2. Liverpool
3. Man City
4. Tottenham

Mourinho anafukuzwa mwezi May baada ya kuchukua ubingwa kwani wachezaji wengi hawataki kucheza chini yake.
Sasa kama hawataki kucheza chini yake wanachukuaje ubingwa
 
1. Liverpool
2. Man City
3. Arsenal
4. Chelsea
 
Nakubaliana na wewe kwa kuwa kama arsenal ile ya wenger isiyosajili bali kuuza nyota tu imeweza kuishi top 4 na ubingwa na vikombe vingi tu kwa miaka 22 kasoro hii misimu miwili sipati picha itakuweje baada ya kusajili mastraika wazuri na kuimarisha ulinzi.Ukweli ligi itakuwa ngumu lakini naona arsenal bingwa.
 
Ila kiukweli kila mtu ana haki ya kubashiri as long as hatuweki chochote, sema kuna Comedians humu wanaiweka Arsenal kwenye top 4.

Kuna hawa wa kupimwa akili wanaoandika eti Arsenal atachukua ubingwa, jamani tuwe serious.
Kama hujui wanaoiweka arsenal bingwa ndiyo wako siliasi siyo nyie makomedian mnaowaweka hao man u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…