zola ndonga
Member
- Oct 23, 2017
- 20
- 11
Man utd
Liverpool
Man city
Chelsea
Liverpool
Man city
Chelsea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kiukweli kila mtu ana haki ya kubashiri as long as hatuweki chochote, sema kuna Comedians humu wanaiweka Arsenal kwenye top 4.
Kuna hawa wa kupimwa akili wanaoandika eti Arsenal atachukua ubingwa, jamani tuwe serious.
Baada ya kuwa likizo kwa miezi mitatu, hatimae ligi pendwa ya EPL inarejea kesho kwa mechi ya ufunguzi kati ya Man Utd Vs Leicester City kule Old Trafford.
Ni msimu ambao mashabiki wengi wa Man Utd wanaonekana kama hawana furaha sana na timu yao, wakichagizwa na kutokufanya kwao usajili mkubwa katika majira haya ya kiangazi.
Baadhi ya timu nyingine zimejiimarisha vizuri, Arsenal wana kocha mpya na wachezaji wapya baadhi, Man City bado wana kikosi kipana na wamemuongeza Mahrez. Liverpool nayo imejiimarisha katika idara mbalimbali ikiwemo golini kwa kumleta Alison Becker toka As Roma. Chelsea wana mwalimu mpya Maurizio Sarri.
Ifuatayo ni Top 4 yangu kuelekea msimu mpya wa 2018/2019.
1.Man City
2.Liverpool
3.Arsenal
4.Man Utd
Na Mourinho atakuwa kocha wa kwanza kutimuliwa katika vilabu vikubwa pale EPL.
Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!
Utayaona kuanzia jumapiliArsenal ni makelele tu, sioni mabadiliko yoyote aliyofanya huyu Wenger mpya.
Sasa kama hawataki kucheza chini yake wanachukuaje ubingwa1. Man Utd
2. Liverpool
3. Man City
4. Tottenham
Mourinho anafukuzwa mwezi May baada ya kuchukua ubingwa kwani wachezaji wengi hawataki kucheza chini yake.
Utayaona kuanzia jumapili
1.Liverpool
2.Man Utd
3.Man City
4.chelsea
kumbuka uingireza sio rahisi timu kuchukua ubingwa misimu 2 mfululizo
Arsenal ni makelele tu, sioni mabadiliko yoyote aliyofanya huyu Wenger mpya.
we unewaona wapi arsenal wakicheza!!?..ngoja tuone hiyo j2 hao arsenal ambao hawana mabadilikoKwahiyo Aseno unaichukulia poa poa?
Hii siyo top4 sasa.Tuendelee kupredict na kubet tu. Sisi wabongo wajuvi sana maeneo hayo
1)Chelsea
2) Stoke
3) Everton
4) West Ham
5) Arsenal
6) Man City
7) Man Utd
Nakubaliana na wewe kwa kuwa kama arsenal ile ya wenger isiyosajili bali kuuza nyota tu imeweza kuishi top 4 na ubingwa na vikombe vingi tu kwa miaka 22 kasoro hii misimu miwili sipati picha itakuweje baada ya kusajili mastraika wazuri na kuimarisha ulinzi.Ukweli ligi itakuwa ngumu lakini naona arsenal bingwa.1.arsenal
2.liverpool
3.man city
4.man.u
arsno wako tofaut sana na miaka yote waliyokuwa wanasndkza lig na kushangilia kuongia top 4 ...live sio mara yao ya kwanza kusajili karbu nusu timu afu kuambulia patupu city itakuepo lakin mwaka huu club zote zmejifua tofaut kukabiliana nae usishangae ata akicheza na fulhm akaambulia patupu ,man u itacheza mrad kuingia top 4 na ikikaa vbaya spurz au chelsea anaweza kumtoa apo akarud position yake ya as usualy top 6 ....n hayoo tu *welcome 2018/19 *
Kama hujui wanaoiweka arsenal bingwa ndiyo wako siliasi siyo nyie makomedian mnaowaweka hao man uIla kiukweli kila mtu ana haki ya kubashiri as long as hatuweki chochote, sema kuna Comedians humu wanaiweka Arsenal kwenye top 4.
Kuna hawa wa kupimwa akili wanaoandika eti Arsenal atachukua ubingwa, jamani tuwe serious.
Just to make sure huulizi Arsenal walipo🤣Hii siyo top4 sasa.