Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

Top 4 itabaki kama ilivyokuwa msimu uliopita, isipokuwa namba zitabadilika.

1. Man City
2. Liverpool
3. Man Utd
4. Tottenham

Man City atapata tabu lakini si kwa kiwango cha kupoteza ubingwa.
 
1. Man city
2. Arsenal
3. Liverpool
4. Tottenham

Manchester United na Chelsea watapata tabu sana, nasema watapata tabu
 
Back
Top Bottom