Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

Tupia Top 4 yako kwa msimu wa EPL wa 2018/19

Leo ndio siku ya mwisho ya msimu, kwenye utabiri wangu Arsenal na Man Utd wameniangusha.
 
Izo top zenu uchwara pelekeni uko..

Man city
Liverpool
Chelsea
Arsenal

Wengine asanteni kwa kushiriki..
 
Mleta uzi hukuwa mbali sana naukweli maana umepatia asilimia kubwa,unafaa kuchukua mikoba ya sheikh Yahya
 
Back
Top Bottom