Tupia top 4 yako ya EPL kwa msimu wa 2023/2024

Tupia top 4 yako ya EPL kwa msimu wa 2023/2024

1. Man UTD
2. Liverpool
3. Man City
4. Arsenal
 
1. Arsenal
2. Man City
3. Chelsea.
4. Liverpool.
5. Manchester United.
6. Aston Villa.
7. Tottenham Hotspurs
8.Brighton Hove &Albion.
9. Newcastle United.
10. Crystal Palace.

Here we go.
Tukutane hapa Mei 2024.
 
Habari,

Ikiwa zimebaki siku kadhaa kwa kuanza msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani yaani EPL, tumeshuhudia vilabu vyenye majina makubwa na maarufu vikifanya usajili mkubwa na mzuri. Tunategemea msimu huu kuwa wa ushindani mkubwa, hii ni top 4 yangu kwa msimu huu.

1. Chelsea

2. Liverpool

3. Man City

4. Man United.

Tupia yako tuone.
We mpuuzi hiyo list yako kama hawapo ARSENAL FC, PRIDE OF LONDON ni batili na modes wafute uzi
 
We mpuuzi hiyo list yako kama hawapo ARSENAL FC, PRIDE OF LONDON ni batili na modes wafute uzi
Chelsea Jana kachezea za mbavu bado Arsenal leo Crystal Palace anaenda kufanya yake hadi utajiuliza hii ndio Arsenal iliyoifunga Barca
 
Back
Top Bottom