Tupia uongo uliodanganywa ukiwa mdogo na wazazi wetu.

Tupia uongo uliodanganywa ukiwa mdogo na wazazi wetu.

Mwanangu ukimeza mbegu zitaota kichwani usimeze
 
Watoto wananuliwa...

Alipozaliwa mdogo wangu nilimpenda haswa Nkawa nasumbua na mimi nikanunuliwe wa kwangu... 😂😂
 
Mama yangu aliniambia maana ya wazinzi ni wezi... Nikikumbuka huwa nacheka peke yangu.
 
Back
Top Bottom