Sasa hivi ni RAIS pia....
Najulikana kama 'rais wa kaunta'
Huwa siwezi kunywa bia nikiwa sijakaa kaunta kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda street childrenNilikuwa nafanya mambo yangu, ilikuwa ngumu kukaa nao waanze kunidanganya.
INTEREST YAKO ILIKUWA MLO TUMimi hawakuwahi kunidanganya, itakuwa walikuwa wanatazama na watu wa kudanganya.
Siyo kila mtu alikuwa anakaa kudanganywa na wazazi wake.Labda street children
Nilikuwa busy kucheza Baba na Mama wakati huo kidume naitwa Baba na watoto wenzangu. Nadhani unajua nilikuwa nafanya nini.INTEREST YAKO ILIKUWA MLO TU