Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa pazia la EPL Jumapili

FORTALEZA,

Top four
Leceister 1 vs 2 Man United
Chelsea 2 vs 2 Wolves

1 Liverpool
2 Man City
3 Man united
4 Chelsea.

Bottom
Aston Villa 1 vs 1 Westham
Arsenal 2 vs 2 Watford
Everton 1 vs 0 Bornemouth

Bornemouth relegation
Watford relegation

Umesomeka mkuu, ngoja tusubirie muda baadae ufike
 

Ahsante kwa uchambuzi wako murua
 
Westham baada ya kupata draw kwa Man Utd ametimiza points ambazo yuko safe kwenye kushuka.

Nahisi hatakuwa na pressure na anaweza asikaze sana.

Arsenal wameshikilia hatima ya Samatta kubaki ligi kuu, na ninaamini kwamba watafanya vyema.

Sawa mkuu
 
Leo Piga ya Chelsea inabidi tumpasue Wolves!
 

Kwahiyo Man Utd atapatiwa penati?
 
Nasikia Soyüncü kamaliza adhabu yake ya Red Card. Leo yupo ndani ya King Power Stadium.

Usiempenda kaja!
 

Utabiri wako umetimia mkuu
 

Utabiri wangu umetimia
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…