Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa pazia la EPL Jumapili

Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa pazia la EPL Jumapili

FORTALEZA,

Top four
Leceister 1 vs 2 Man United
Chelsea 2 vs 2 Wolves

1 Liverpool
2 Man City
3 Man united
4 Chelsea.

Bottom
Aston Villa 1 vs 1 Westham
Arsenal 2 vs 2 Watford
Everton 1 vs 0 Bornemouth

Bornemouth relegation
Watford relegation

Umesomeka mkuu, ngoja tusubirie muda baadae ufike
 
Ona hapa.

Aston Villa gemu ya mwisho anacheza na Westham. Westham katoka kusuluhu na Man U na alimpiga 3 chelsea hivyo ni timu ngumu.

Watford gemu ya mwisho anacheza na Arsenal. Arsenal katoka kufungwa na Aston Villa, na alifungwa na Watford gemu ya kwanza (suluhu sikumbuki vizuri) Arsenal wanahitaji huu ushindi kuwabust kabla ya kukutana na Chelsea. Watford katoka kupigwa nne na City naye ana hamu na ushindi.

Aston Villa ataresort kwenye mbinu zilizompa ushindi kwa Arsenal hivyo Westham wana kazi ya kulitoa basi pembeni, Watford atakuja huku kafunguka kufight asishuke, hapo ndipo atakosea as Arsenal wakicounter vizuri watashinda nyingi. Auba atakua na papara ili kujaribu kukikaribia kiatu, Watford wajiandae.

Mimi nasema Aston Villa ana chansi nyingi za kubaki kuliko hata Watford. Na hizo mechi za mwisho kama wote watafungwa (Villa na Watford) atakayepigwa nyingi ndiye atakua kapotea ambaye hawezi kua Villa.

Ahsante kwa uchambuzi wako murua
 
Westham baada ya kupata draw kwa Man Utd ametimiza points ambazo yuko safe kwenye kushuka.

Nahisi hatakuwa na pressure na anaweza asikaze sana.

Arsenal wameshikilia hatima ya Samatta kubaki ligi kuu, na ninaamini kwamba watafanya vyema.

Sawa mkuu
 
Liverpool
ManCity
ManU [Watapewa Penati / RedCard kwa Leicester/ au vyote viwili]
Chelsea

Watford Kukandikwa goli nyingi na Arsenal, walio na hasira na Watford kutokana na maneno ya zeleu dhidi ya Arsenal mechi iliyopita.

Aston Villa kupita kwa vile West Ham wako kwenye mawazo ya likizo tayari.

Kwahiyo Man Utd atapatiwa penati?
 
Nasikia Soyüncü kamaliza adhabu yake ya Red Card. Leo yupo ndani ya King Power Stadium.

Usiempenda kaja!
 
Liverpool
ManCity
ManU [Watapewa Penati / RedCard kwa Leicester/ au vyote viwili]
Chelsea

Watford Kukandikwa goli nyingi na Arsenal, walio na hasira na Watford kutokana na maneno ya zeleu dhidi ya Arsenal mechi iliyopita.

Aston Villa kupita kwa vile West Ham wako kwenye mawazo ya likizo tayari.

Utabiri wako umetimia mkuu
 
Ligi ya EPL inafikia ukingoni jumapili tarehe 26 july 2020, kuna vita ya aina mbili kuelekea kufungwa kwa ligi. Kwanza ni timu mbili ambazo zitaungana na Liverpool na Man City kuelekea kwenye mashindano ya Uefa Champions League msimu ujao. Pili ni nani ataungana na Norwich kushuka daraja.

Mechi zote zitapigwa muda mmoja saa 12 jioni siku ya jumapili.

Kwenye vita ya Top 4, nafasi ya 3 na 4 inagombewa na timu tatu ambazo ni Man Utd, Chelsea na Leicester.

Mechi za mwisho za timu hizo ni;
Leicester City Vs Man Utd
Chelsea Vs Wolves

Kwenye vita ya kushuka daraja kuna timu tatu ambazo ni Bournemouth, Watford na Aston Villa, zinatafutwa timu mbili za kuungana na Norwich.

Mechi za mwisho;
Aston Villa Vs West Ham
Watford Vs Arsenal
Bournemouth Vs Everton

Tabiri timu mbili zitakazoingia top 4 kuungana na bingwa Liverpool na Man City na timu mbili zitakazoungana na Norwich kushuka daraja!

Top 4 yangu; Liver, Man City, Man Utd na Chelsea
Wanaoshuja daraja; Norwich, Bournemouth na Watford

Karibu kwa utabiri wako

Utabiri wangu umetimia
 
Hahaha mkuu una mikwara
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Kwahiyo Man Utd atapatiwa penati?

Umiona?

Top-Four imekuwa mulemule.
Man U wamepewa Penati.
Leicester mchezaji wao kapewa kadi nyekundu.
 
Ligi ya EPL inafikia ukingoni jumapili tarehe 26 july 2020, kuna vita ya aina mbili kuelekea kufungwa kwa ligi. Kwanza ni timu mbili ambazo zitaungana na Liverpool na Man City kuelekea kwenye mashindano ya Uefa Champions League msimu ujao. Pili ni nani ataungana na Norwich kushuka daraja.

Mechi zote zitapigwa muda mmoja saa 12 jioni siku ya jumapili.

Kwenye vita ya Top 4, nafasi ya 3 na 4 inagombewa na timu tatu ambazo ni Man Utd, Chelsea na Leicester.

Mechi za mwisho za timu hizo ni;
Leicester City Vs Man Utd
Chelsea Vs Wolves

Kwenye vita ya kushuka daraja kuna timu tatu ambazo ni Bournemouth, Watford na Aston Villa, zinatafutwa timu mbili za kuungana na Norwich.

Mechi za mwisho;
Aston Villa Vs West Ham
Watford Vs Arsenal
Bournemouth Vs Everton

Tabiri timu mbili zitakazoingia top 4 kuungana na bingwa Liverpool na Man City na timu mbili zitakazoungana na Norwich kushuka daraja!

Top 4 yangu; Liver, Man City, Man Utd na Chelsea
Wanaoshuja daraja; Norwich, Bournemouth na Watford

Karibu kwa utabiri wako
Hongera
 
Back
Top Bottom