Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa pazia la EPL Jumapili

Tupia utabiri wako kuelekea kufungwa kwa pazia la EPL Jumapili

Liverpool
ManCity
ManU [Watapewa Penati / RedCard kwa Leicester/ au vyote viwili]
Chelsea

Watford Kukandikwa goli nyingi na Arsenal, walio na hasira na Watford kutokana na maneno ya zeleu dhidi ya Arsenal mechi iliyopita.

Aston Villa kupita kwa vile West Ham wako kwenye mawazo ya likizo tayari.
Haya tupe hizo sababu za kisayansi maana Nyumbu s tuta united wamepata penati na kadi nyekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liverpool
ManCity
ManU [Watapewa Penati / RedCard kwa Leicester/ au vyote viwili]
Chelsea

Watford Kukandikwa goli nyingi na Arsenal, walio na hasira na Watford kutokana na maneno ya zeleu dhidi ya Arsenal mechi iliyopita.

Aston Villa kupita kwa vile West Ham wako kwenye mawazo ya likizo tayari.

Wewe jamaaa ni hatari sana [emoji120] endelea kutupatia hizi tabiri zijazo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
FORTALEZA,

Top four
Leceister 1 vs 2 Man United
Chelsea 2 vs 2 Wolves

1 Liverpool
2 Man City
3 Man united
4 Chelsea.

Bottom
Aston Villa 1 vs 1 Westham
Arsenal 2 vs 2 Watford
Everton 1 vs 0 Bornemouth

Bornemouth relegation
Watford relegation
Good try
 
Kama ningeweka mkeka ungechanika kuanzia mwanzo mpaka mwisho [emoji3][emoji3]

Nilijua Bournemouth asingeweza pindua meza kwa mechi moja ila Watford na Bournemouth kushuka daraja nimewahurumia sana walikuwa na vikosi vizuri kuliko timu za juu yao.
 
Back
Top Bottom