babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Simba 1-3 Al Ahly
Kama alivyo tabiri Mwana familia wa JF muda wa mchana, sikumbuki title ya bandiko lakini naiona simbwa ikicharazwa bakora 6 kwa nunge bila tashwishwi yeyoteKesho ndio ile siku ya ufunguzi wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE( AFL) ambapo mechi ya ufunguzi itazikutanisha Simba S.C ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Tupia utabiri wako hapo chini
Kesho anaweka kambaniBaleke to score a goal Simba 1:0 Ahly
Mwarabu atakufa 2-0. Kwao atakufa 1-0.Kesho ndio ile siku ya ufunguzi wa AFRICAN FOOTBALL LEAGUE( AFL) ambapo mechi ya ufunguzi itazikutanisha Simba S.C ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Tupia utabiri wako hapo chini