Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huo wimbo niliinbiwa na mama yangu nilikuwa siujuiAhhh mimi nakumbuka huu..
LY bomba lasaba wote bomba..
Na huu
Idd amin akifa mm siwez kulia, Tutamtupa kagera awe chakula cha mamba.
Mchaka mchaka chinja, mchaka mchaka chinja
mapaka hayaishi kulia lia usiku, watoto hawaishi kuumwa umwa eeeh jama ooohsasa nimehamia mtaa wa saba toka pale nilipokuwa nikikaa zamani..ile nyumba sio nyumba ilikuwa na mikosi oooh
Father is thereOf all the songs! Nilikuwa nautafuta huu.
Ukiwa miserable huu wimbo mara unalia.Father is there
mother is there
when i shall see my home agen
when i shall see my fadher and mother
never forget my home
Wooow. .........nakapendaga mpk leoMabata madogo madogo yanaogelea yanaogelea, katika shamba zuri la Bustani.
huu wimbo kweli unalia hasa nikikumbuka alie tufundisha na walimu wengi wa shule yetu MGOLOLO wametutangulia daaa Nyumbani tena japo haitowezekana tenaUkiwa miserable huu wimbo mara unalia.
Huwa siimbi hiyo nyimbo,mwalimu aliyenifundisha alikuwa ni baba mzazi ambaye sinae tena,labda mpaka dunia ikinizingua sana na niwe nataka kulia.huu wimbo kweli unalia hasa nikikumbuka alie tufundisha na walimu wengi wa shule yetu MGOLOLO wametutangulia daaa Nyumbani tena japo haitowezekana tena
nimekupenda saana mkuu usiku huu uwe na usiku mwemaHuwa siimbi hiyo nyimbo,mwalimu aliyenifundisha alikuwa ni baba mzazi ambaye sinae tena,labda mpaka dunia ikinizingua sana na niwe nataka kulia.
Nasema kwa lugha halafu kwa kufikiriTazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde yote ya nafakaaaa
Alafu inaendeleaje sijui sikumbuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]