Tupige siasa tuzodowane ila amini ulinzi ni mkali acha kabisa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
"Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na bwana. Mwana, utalia tena, sali. Wasikubambe unahujumu uchumi au una panga mambo maovu. Ukorudi tusimulia. Naomba ukatoe sadaka... Shikamoo Jamuhuri ya Muungano."
 
Mwizi ni mwizi tu hata malaika awe mlinzi,binadamu ni kiumbe mwenye IQ flexible kulingana na mazingira.
 
"Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na bwana. Mwana, utalia tena, sali. Wasikubambe unahujumu uchumi au una panga mambo maovu. Ukorudi tusimulia. Naomba ukatoe sadaka... Shikamoo Jamuhuri ya Muungano."
Gesi ya Mtwara taifa linapata asilimia gapi?
 
Kwani wale aliowasema CDF kuwa sio wetu na wamepewa vyeo wameshaondolewa?
 
Back
Top Bottom