Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

IFWT_MJ1.png
Piga magoti[emoji126] [emoji126]
 
This is the story of a cat.. An outlaw who dedicated to justice and the love of the beautiful woman
 
Luna story moja hupenda kuwapa wanafunzi wangu ili kuwahasisha kusoma kwa bidii. Nitafupisha sana na kusema kweli inaanzia kwa mkongwe SHAABAN ROBERT. NI HII
Dondola na nyuki walienda kusomea ufundi wa kutengeneza asali. Wakiwa chuoni nyuki alikuwa na bidi kubwa na mtiifu. Dondola alikuwa mzembe na mtuvu was adabu. Hatimaye wore walimaliza masomo nyuki aka graduate with distinction. Dondola alipasi kwa kiwango cha chini kabisa. Wore wakaenda duniani kuanza kazi. Nyuki akawa hodari was kutengeneza asali lakini dondola anahangaika Mara atoboe miti akitafuta asali lakini hapati. Huwa nahitimisha kwa kwa Kuwait's wanafunzi hodari nyuki na wazembe dondola. Hii huwasaidia wazembe kujirekebisha.
HIYO STORY NAYO MKUU
 
Back
Top Bottom