Nijuze msukuma weyeNdagukunda! [emoji53]
Kwanza unajua ni kilugha gani hiki?
Ha haaa tukimbilie kwa wadigo sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wameshakuwa waumizaji sana sa hiv wasukuma....duh jmn tutakimbilia wapi
Arachuga...
Hebu fanya urudi tena,panazidi kunogaNilishafika Arusha mwaka 2009. Nilipapenda kweli, toka wakati huo sijafankiwa kurudi tena.
Hebu fanya urudi tena,panazidi kunoga
KhaaaaaaHa haaa tukimbilie kwa wadigo sasa
Kuna kwa mromboo,kisongo,olasit n.k.... Ukiweza kuwahi maeneo ya kisongo viwanja vipo panapanuka saiviWapi panabamba sana huko? Nikitaka kununua kiwanja nijenge nyumba.
Wapi pana trend kwa sasa?
Wanajali na kujua thamani ya mpenzi/mkeKhaaaaaa
Kuna huyo msukuma mwenzng ametenda kitendo cha ajabu hata sijataka kuamin kabisa km n msukuma...si kwa kitu kile duh
Kwan wadigo wao ni wapolee eeh??
Kuna kwa mromboo,kisongo,olasit n.k.... Ukiweza kuwahi maeneo ya kisongo viwanja vipo panapanuka saivi
Kwahuko sijajua,ila nadhani vitakuwepo japo kwa ndani ndani kidogoMoshono pamekaaje?
Mkuu kwa hizi hisia kama hauta samehewa mlengwa lazima atakuwa mkaanga Sumu
Mkuu kwa hizi hisia kama hauta samehewa mlengwa lazima atakuwa mkaanga Sumu
Kwahuko sijajua,ila nadhani vitakuwepo japo kwa ndani ndani kidogo
Atakua amesamehewa banaMkuu kwa hizi hisia kama hauta samehewa mlengwa lazima atakuwa mkaanga Sumu
He hee ukifika stand takuja kukupokeaWewe unakaa Arusha sehemu gani? Nataka nije kuishi karibu yako.
He hee ukifika stand takuja kukupokea
Kabisa...
Huko huko uwanjani takujaNakuja kwa ndege bhana.