We unajua zipi?Gia gani unayoiongelea mama?
We unajua zipi?
Basi takwambia keshoNdio maana nikakuuliza.
Inabidi urudi tukafundishe upyaaKwakweli umenipoteza
Basi takwambia kesho
Itabidi iwe hivyo... Nije na vitu gani?Inabidi urudi tukafundishe upyaa
Naandaa dagaa,njoo unisaidieUnafanyaje sahivi?
We acha tuchitchatike bana tuondoe stressSasa hii ni topiki gani? Moderators please tusaidie kuwaelimisha hawa vijana. Tumechoka sasa.
Naandaa dagaa,njoo unisaidie
Wee njoo na daftari, kalamu na nguo kadhaa, kitanda na mengineyo vipo.Itabidi iwe hivyo... Nije na vitu gani?
Nyie ndo mnaingia kwenye daladala afu unauliza abiria gari inaenda wapi wakati imeandikwa mbele na mlangoni na konda umepishananae mlangoniSasa hii ni topiki gani? Moderators please tusaidie kuwaelimisha hawa vijana. Tumechoka sasa.
Hulagi dagaa! Basi unakosa uhondo sana.... Ukiwakausha vizuri urost fresh kesho tena utatamaniSilagi dagaa, wana shombo.
Unaonaje ukapika rosti ya kuku wa kienyeji na chapati?
Sawa mwaaalimWee njoo na daftari, kalamu na nguo kadhaa, kitanda na mengineyo vipo.
Hulagi dagaa! Basi unakosa uhondo sana.... Ukiwakausha vizuri urost fresh kesho tena utatamani
Rost ya kuku basi tapika jioni,saivi ni mwendo wa dagaa[emoji4]
Unawatilia limao inakata shombo buana... Matembere je unapenda?Dagaa wana shombo aisee. Hata uwaoshe kwa jiki haiishi.
Pata picha upo nje ya nyumbani halafu unakula dagaa, shombo inayobaki mdomoni.
Ha haa basi itabidi tumuandalieKuku kienyeji ana shombo, hajaw kula
Unawatilia limao inakata shombo buana... Matembere je unapenda?
Yes yes yeesOf course yes. Yakiwa na malimao kwa wingi..
Yanakuwa na ugwadu fulani hivi.
Yes yes yees