Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

Sasa hii ni topiki gani? Moderators please tusaidie kuwaelimisha hawa vijana. Tumechoka sasa.
 
Nyie ndo mnaingia kwenye daladala afu unauliza abiria gari inaenda wapi wakati imeandikwa mbele na mlangoni na konda umepishananae mlangoni
 
Silagi dagaa, wana shombo.

Unaonaje ukapika rosti ya kuku wa kienyeji na chapati?
Hulagi dagaa! Basi unakosa uhondo sana.... Ukiwakausha vizuri urost fresh kesho tena utatamani

Rost ya kuku basi tapika jioni,saivi ni mwendo wa dagaa[emoji4]
 
Dagaa wana shombo aisee. Hata uwaoshe kwa jiki haiishi.

Pata picha upo nje ya nyumbani halafu unakula dagaa, shombo inayobaki mdomoni.
 
Unawatilia limao inakata shombo buana... Matembere je unapenda?
 
Back
Top Bottom